Jamani niseme wazi kuhusu ukweli wangu, tangia nikiwa nursery nilikuwa sipendi kuwa na marafiki wa kike, mpaka namaliza chuo sikuwa na rafiki wa kike ata mmoja zaidi ya girlfriend wangu, mtazamo wangu huu nimekuja kugundua kuwa si sahihi, nimekuwa na marafiki wengi wa kiume lakini sijaona msaada wao hasa kimawazo zaidi ya kuwa kichecheo cha kutenda ndivyo sivyo jamii inavyotegemea, sasa nimejaribu kubadili mwelekeo kuwa na marafiki wengi wa kike hasa kushauriana kwa mambo ya kimaendeleo na si vinginevyo...! nawakaribisha sana...sina maana mabya kwa ndugu zangu vidume sikwamba wote ni immoral la..! ila naomba nione vipi kuwa na marafiki wa kike maana siku zote wamekuwa wanadai wanaweza ngoja nione uwezo wao....! asanteni naomba kuwasilisha ANGALIZO nataka wadada smart kuanzia nje hadi kichwani kama wewe ujiwezi usijaribu sawa.!
INTERESTED IN PM......!
INTERESTED IN PM......!