Natafuta wadada wa hiari wengi iwezekanavyo...!

Natafuta wadada wa hiari wengi iwezekanavyo...!

hapa hamna janja yeyote, issue ni uko smart kichwani unaweza kunishauri kitu cha maana ama tukashauriana ambavyo mimi napenda huwezi usithubutu!

We kama unataka mtu atakaekushauri ambavyo wewe unapenda huyo hutampata humu JF labda uende facebook.
 
siku mwoga wa ugomvi hakosi kisingizio, utasikia mara leosiko vizuri, mara ashuru ingekuwa enzi zangu aliyekwambia kuna mtu anakosa enzi ni nani?

Hehehehe kimawazo na IQ nitakuwa mbali nawe, sasa huoni ni shida nikiwa dada yako wa hiari?
 
Jamani niseme wazi kuhusu ukweli wangu, tangia nikiwa nursery nilikuwa sipendi kuwa na marafiki wa kike, mpaka namaliza chuo sikuwa na rafiki wa kike ata mmoja zaidi ya girlfriend wangu, mtazamo wangu huu nimekuja kugundua kuwa si sahihi, nimekuwa na marafiki wengi wa kiume lakini sijaona msaada wao hasa kimawazo zaidi ya kuwa kichecheo cha kutenda ndivyo sivyo jamii inavyotegemea, sasa nimejaribu kubadili mwelekeo kuwa na marafiki wengi wa kike hasa kushauriana kwa mambo ya kimaendeleo na si vinginevyo...! nawakaribisha sana...sina maana mabya kwa ndugu zangu vidume sikwamba wote ni immoral la..! ila naomba nione vipi kuwa na marafiki wa kike maana siku zote wamekuwa wanadai wanaweza ngoja nione uwezo wao....! asanteni naomba kuwasilisha ANGALIZO nataka wadada smart kuanzia nje hadi kichwani kama wewe ujiwezi usijaribu sawa.!

INTERESTED IN PM......!

Mmmh...!
 
ukweli nikwambe hakuna njia tena, unajua kuna kwa mwanamke wa kuoa huitaji awe na akili nyingi sana maana atakusumbua ila usije jaribu kuwa na mwanamke mjinga ama mwenye akiri kiduchu kama rafiki yako ndicho namanisha!
Kwa gia hii uliyokuja nayo, mzee utangoja sana.
 
Back
Top Bottom