Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.