dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo kwa baadae nitajiongeza.
Lengo ni kuwa kila weekend wateja wangu wapate burudani.Ahsanteni
Dar-Gongo la mboto
0627474141
Mwenye connection anisaidie plz