dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Unatafuta waimbaji wa live band halafu hutaki band.NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo kwa baadae nitajiongeza.
Lengo ni kuwa kila weekend wateja wangu wapate burudani.Ahsanteni
Dar-Gongo la mboto
0627474141
Mwenye connection anisaidie plz
Boss, vifaa vya kufanyia hiyo live band tayari unavyo? Au tutatakiwa sisi waimbaji ndiyo tuje na vifaa vyetu?NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo kwa baadae nitajiongeza.
Lengo ni kuwa kila weekend wateja wangu wapate burudani.Ahsanteni
Dar-Gongo la mboto
0627474141
Mwenye connection anisaidie plz
ungesoma kwa umakini ungeelewaUnatafuta waimbaji wa live band halafu hutaki band.
Kiswahili kigumu sana.
nina drums tu na mzikiBoss, vifaa vya kufanyia hiyo live band tayari unavyo? Au tutatakiwa sisi waimbaji ndiyo tuje na vifaa vyetu?
Wewe tafuta DJ na mpiga drums tu, basi.nina drums tu na mziki
Band ipo , tutafanya kazi kwa makubaliano kila weekend kupiga kwenye bar yako kwa malipo yasiyoumiza pande zote mbili....band yetu imekamilika kwa kila kitu.NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo kwa baadae nitajiongeza.
Lengo ni kuwa kila weekend wateja wangu wapate burudani.Ahsanteni
Dar-Gongo la mboto
0627474141
Mwenye connection anisaidie plz
huwezi kutaafuta kitu ambacho tayari uko nacho mkuuWewe tafuta DJ na mpiga drums tu, basi.
nimekupmBand ipo , tutafanya kazi kwa makubaliano kila weekend kupiga kwenye bar yako kwa malipo yasiyoumiza pande zote mbili....band yetu imekamilika kwa kila kitu.
Je upo tayari kwa biashara hiyo? ...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unatafuta waimbaji wa live band halafu hutaki band.
Kiswahili kigumu sana.