Natafuta wakili

Natafuta wakili

gidy boy

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
39
Reaction score
5
Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
 
Kama unahisi uonevu huna uhakika hapo tayari umefeli!
Unahisi kuonewa huwa uhakika kuwa unaonewa?
 
Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe.
 
Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe.
Nimependa sana wazo lako BabaMorgan,ni kweli tukiweka wazi humu Mambo ya kisheria unaweza pata msaada kwa haraka zaidi! Mambo mengi ya kuitana chember mwisho wake mnaishia kulaumiana tu!!
 
Back
Top Bottom