Natafuta wakubadilishana nae kituo cha kazi(shule). Aje Singida, niende Moshi.

Natafuta wakubadilishana nae kituo cha kazi(shule). Aje Singida, niende Moshi.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habari kwenu?

Kichwa cha habari cha husika, ni mwalimu wa kike anaefundisha Singida wilaya ya Mkalama idara ya sekondari kwa masomo ya sanaa.

Anatafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi, anataka kwenda Kilimanjaro wilaya ya Moshi.

Hivyo kwa mwalimu anaeweza kubadili kituo awasiliane nae kwa namba hizi 0763339428.
 
Back
Top Bottom