Habari!
Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu.
Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea buckles Nzuri kabisa kama picha zinavyoonekana.
Tafadhali sana nijulishe kama unajua wapi hapa Tz (mkoa wowote ule) naweza kupata watengeneza buckles
Nzuri rangi ya gold kama picha zinavyoonyesha.
Asante Sana! Ubarikiwe! 🙏🏾