BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Wakuu,
Natafuta shampeni zisizo na vilevi ambazo bei yake haizidi sh. 5,500. Nahitaji nyingi kidogo
Tafadhali kama unafaham naomba uweke maelezo wape naweza pata au weka namba ya simu.
Napatikana Dar, karibuni wakuu.