Natafuta Wanawake wa kuchati nao

1. Kabila?

2. Umeoa/watoto?

3. Kisomo chako?

4. Hobby yako?

5. Wasifu wa unaemtaka?
Wewe unataka kumpa ajira sio kuchat naye maana sifa ya kuchat ninavyoijua mimi ni kusoma na kuandika tuu
 
hahahaha samahani unataja mpaka kimo? lengo ni kuchat ama kuna la ziada oshie?
 
Sasa kiongozi sifa zote hizo unazotaka kutoka kwa mwanamke kweli unahitaji mtu wa kuchat naye au wa kumwajiri, embu funguka mgosii, maana sifa ya mtu wa kuchat naye ni ajue kusoma na kuandika tuuu, hayo mengine duuuh
 
Hata kwenye kuchart nayo kuna vipaumbele bwana. Sio unachart mradi charting tu
Vipaumbele utavijuaje wakati hata mada ya mnachochat bado hujaijua, ili uweze kuchat unapaswa kujua kusoma na kuandika hayo mengine mtaulizana hukohuko kutokana na mnachochat
 
Eti eeh.... Basi sawa
 
Mpaka uambiwe
 
Sasa kiongozi sifa zote hizo unazotaka kutoka kwa mwanamke kweli unahitaji mtu wa kuchat naye au wa kumwajiri, embu funguka mgosii, maana sifa ya mtu wa kuchat naye ni ajue kusoma na kuandika tuuu, hayo mengine duuuh
Muhsika nae kaulizw hyo kataja hadi kimo na mengine.

Hasa anatafuta wa kupiga nae story tu au ku date huh
 
na Kwa mfano akimpata akiwa dar na yy yupo moshi sasa wata date na y wakat wapo mbali na c rahis kuwa karibu
 
Maswali yoote uliomuuliza nikajua umevutiwa kumbe.....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ungeambatanisha mada za kuchati, na njia za kuchati, na malengo, kama ni kwa simu hamuhitaji kujuana kimo wala rangi, labda kama kwa kukaa pamoja, ili uwape nafasi wenye nia wakutafute
 
nakupiga na like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…