mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Duuh wabongo kwa sifaa, sifa za kuchat si zinajulikana kabisa kwamba ni kuandika na kusoma, au ulidhani anatafuta kazi au mchumba?Ungeambatanisha na sifa zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh wabongo kwa sifaa, sifa za kuchat si zinajulikana kabisa kwamba ni kuandika na kusoma, au ulidhani anatafuta kazi au mchumba?Ungeambatanisha na sifa zako
Wewe unataka kumpa ajira sio kuchat naye maana sifa ya kuchat ninavyoijua mimi ni kusoma na kuandika tuu1. Kabila?
2. Umeoa/watoto?
3. Kisomo chako?
4. Hobby yako?
5. Wasifu wa unaemtaka?
Hata kwenye kuchart nayo kuna vipaumbele bwana. Sio unachart mradi charting tuDuuh wabongo kwa sifaa, sifa za kuchat si zinajulikana kabisa kwamba ni kuandika na kusoma, au ulidhani anatafuta kazi au mchumba?
hahahaha samahani unataja mpaka kimo? lengo ni kuchat ama kuna la ziada oshie?1. Sambaa from Lushoto - tanga
2. Cjaoa ila nna mtoto
3. Diploma in Multimedia
4. Hobby yangu ni kufanya design, Music especial hiphop
5. Mwenye umri kwanzia 25 - 100yrs, asiwe mfupi, wastani kwa umbo sio mnene sana
wala mwembamba sana, anaejitambua, mwenye mawazo productive
Sasa kiongozi sifa zote hizo unazotaka kutoka kwa mwanamke kweli unahitaji mtu wa kuchat naye au wa kumwajiri, embu funguka mgosii, maana sifa ya mtu wa kuchat naye ni ajue kusoma na kuandika tuuu, hayo mengine duuuh1. Sambaa from Lushoto - tanga
2. Cjaoa ila nna mtoto
3. Diploma in Multimedia
4. Hobby yangu ni kufanya design, Music especial hiphop
5. Mwenye umri kwanzia 25 - 100yrs, asiwe mfupi, wastani kwa umbo sio mnene sana
wala mwembamba sana, anaejitambua, mwenye mawazo productive
vipi na akiwa bedNdio lipi hilo?
Nahisi sijakuelewavipi na akiwa bed
Vipaumbele utavijuaje wakati hata mada ya mnachochat bado hujaijua, ili uweze kuchat unapaswa kujua kusoma na kuandika hayo mengine mtaulizana hukohuko kutokana na mnachochatHata kwenye kuchart nayo kuna vipaumbele bwana. Sio unachart mradi charting tu
Eti eeh.... Basi sawaVipaumbele utavijuaje wakati hata mada ya mnachochat bado hujaijua, ili uweze kuchat unapaswa kujua kusoma na kuandika hayo mengine mtaulizana hukohuko kutokana na mnachochat
Mpaka uambiwe1. Sambaa from Lushoto - tanga
2. Cjaoa ila nna mtoto
3. Diploma in Multimedia
4. Hobby yangu ni kufanya design, Music especial hiphop
5. Mwenye umri kwanzia 25 - 100yrs, asiwe mfupi, wastani kwa umbo sio mnene sana
wala mwembamba sana, anaejitambua, mwenye mawazo productive
Ungemwambia tu kulingana na hobby za mtu utaweza jua kama mtaeza endana na mada atazo leta au aina za mada jadiliwaEti eeh.... Basi sawa
Muhsika nae kaulizw hyo kataja hadi kimo na mengine.Sasa kiongozi sifa zote hizo unazotaka kutoka kwa mwanamke kweli unahitaji mtu wa kuchat naye au wa kumwajiri, embu funguka mgosii, maana sifa ya mtu wa kuchat naye ni ajue kusoma na kuandika tuuu, hayo mengine duuuh
na Kwa mfano akimpata akiwa dar na yy yupo moshi sasa wata date na y wakat wapo mbali na c rahis kuwa karibuMuhsika nae kaulizw hyo kataja hadi kimo na mengine.
Hasa anatafuta wa kupiga nae story tu au ku date huh
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Maswali yoote uliomuuliza nikajua umevutiwa kumbe.....
Siyo mrefu na wala mfupi=REFUPIROOk! Maji ya kunde in color,nina umri wa miaka 31, sio mrefu sana wala sio mfupi nko wastani
Naishi na kufanya kazi Dar.
nakupiga na likeUngeambatanisha mada za kuchati, na njia za kuchati, na malengo, kama ni kwa simu hamuhitaji kujuana kimo wala rangi, labda kama kwa kukaa pamoja, ili uwape nafasi wenye nia wakutafute
Usiende bwana nakusemeleaUngeambatanisha na sifa zako
Wansemelea kwa nani?Usiende bwana nakusemelea