ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mteja mkubwa wa mbaazi ni Ysuph Manji, hizo ni raw material za kutengeneza biskuti.Habarini wadau wa hapa
Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima morogoro
kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi karibu sana
asante kwa ushauri wako ngoja niende kwenye hayo masoko makubwa ila hao madalali hawatanitapelMteja mkubwa wa mbaazi ni Ysuph Manji, hizo ni raw material za kutengeneza biskuti.
Kama upo Dar chuki na wadosi wanaouza nafaka, wahindi ndio walaji wakubwa wa hizi nafaka, au waone madalali wa mazao kwenye masoko makubwa.
asante sana ngoja niangalie bei za masoko zikojeushauri wangu weka bei zilizopo sokoni hapo hapo moro kuna wateja wazuri tu iyo 2000 ni bei ambayo hata india haipo
Kila solo kuna uongozi, viongozi au kiongozi akithibitisha anamtambuwa haina shida.asante kwa ushauri wako ngoja niende kwenye hayo masoko makubwa ila hao madalali hawatanitapel
Bora uwatafute wahind wenyewe achana na Madalaliasante kwa ushauri wako ngoja niende kwenye hayo masoko makubwa ila hao madalali hawatanitapel
namna ya kuwapata hao wahindi sasa hapo ndugu
Ukiishazipata weka hapa tafadhali. Naweza kukupa mteja anahitaji Tani 300asante sana ngoja niangalie bei za masoko zikoje
Lindi ipi hiyo chief?Huku lindi bei kilo 1200 -1500 we hiyo ya mkoa gani??
asante sana ngoja niangalie bei za masoko zikoje
Nahisi hiyo bei alipata kwa motivation speaker wakeSokoni kibaigwa ni 1250 kwa kilo, wahindi Dar wananunua 1500 hadi 1600 hiyo bei ya 2000 umeitoa wapi mkuu
[emoji28][emoji28] motivesheni spika ukiwaskiliza sana lazima uumie...underground things a differentNahisi hiyo bei alipata kwa motivation speaker wake
Hata mim nilishangaaushauri wangu weka bei zilizopo sokoni hapo hapo moro kuna wateja wazuri tu iyo 2000 ni bei ambayo hata india haipo
Nahisi hiyo bei alipata kwa motivation speaker wake
Kama una mteja niunganishe nae nifanye biashara!Ukiishazipata weka hapa tafadhali. Naweza kukupa mteja anahitaji Tani 300