Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini wadau wa hapa.

Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi.

Karibu sana.
 
Habarini wadau wa hapa
Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima morogoro
kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi karibu sana
Mteja mkubwa wa mbaazi ni Ysuph Manji, hizo ni raw material za kutengeneza biskuti.

Kama upo Dar chuki na wadosi wanaouza nafaka, wahindi ndio walaji wakubwa wa hizi nafaka, au waone madalali wa mazao kwenye masoko makubwa.
 
asante kwa ushauri wako ngoja niende kwenye hayo masoko makubwa ila hao madalali hawatanitapel
 
asante kwa ushauri wako ngoja niende kwenye hayo masoko makubwa ila hao madalali hawatanitapel
Kila solo kuna uongozi, viongozi au kiongozi akithibitisha anamtambuwa haina shida.

Sokoni hao madalali ndio wamekamata michongo yote ya kuuza mazao
 
Huku lindi bei kilo 1200 -1500 we hiyo ya mkoa gani??
 
Babati/manyara bei ya kilo ni tsh 1,100. Hiyo bei yako ipo juu sana..Jaribu kufanya survey ya bei kabla hujaleta bidhaa sokoni! Naona watu wengi wamesema bei yako ipo juu
 
Back
Top Bottom