Habari zenu wakuu.
Mwenye uelewa naomba aniisaidie hapa Natafutaa warehouse kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo, either kwa kupanga au kununua kabisa.
Lakini kabla ya kufanya uamuzi naomba kufahamishwa haya mambo mawili
1-Kwa kupanga, kodi hukipwa kwa muda gani?
2-Nimesikia kuna kodi inaitwa “stanford duty” mtu akipanga hiyo warehouse mbali na kodi ya pango.Je hii ni kweli? Na
3-Mtu akinunua hiyo warehouse a kaimiliki bado ataendelea kulipia hiyo duty?
4- Raia wa kigeni anaweza kununua warehouse Tanzania?
Naombeni maarifa juu ya hili ndugu zangu.
Natanguliza shukrani.