Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
295
Reaction score
792
Wakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo.

Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama.

Msaada tafadhali
 
Peleka Kilimanjaro/Arusha Utapata Huduma Safi
 
Ingia Instagram search (eddyspaint)

Utakuja kunishukuru baadae!
 
Kuna fundi anaitwa mrombo hapo mwananyamala vijana aliwahi kunifanyia kazi nzuri saana miaka kama mi5 iliyopita kama unaweza ulizia hapo namba yake ya simu nilipoteza
 
Back
Top Bottom