Mnauza kwa m3?Wanajamvi,
Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa makubaliano.
Karibuni sana
Ukiitaj kujenga usiangaike tena Timo builders tunachora ramani
Tunafanya ujenzi wa kisasa kwa gharama poa kabisa.
Tupigie au tutext WhatsApp no.
0673586009.View attachment 1373463
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi,
Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa makubaliano.
Karibuni sana
Nyumba ya vyumba vitatu mpaka finishing,approximately ni sh ngapi?Ukiitaj kujenga usiangaike tena Timo builders tunachora ramani
Tunafanya ujenzi wa kisasa kwa gharama poa kabisa.
Tupigie au tutext WhatsApp no.
0673586009.View attachment 1373463
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ninayo floor plan.. Una sh ngapi?Appartment 4 storey 2 wings raman yake kiasi gani, contemporay design? Uwanja sqm 1000 utoshe na garden, na parking za wapangaji yani kuwe na space
Kwa vyumba vitatu mpaka finishing inacheza kwenye million 10Nyumba ya vyumba vitatu mpaka finishing,approximately ni sh ngapi?
Mmmh 10?Kwa vyumba vitatu mpaka finishing inacheza kwenye million 10
Ndio tena inaweza ikazidi inategemeana na nature ya site ilivyo.Uhakika wa kazi nzuri na kudumu kwani tutakupa na difect liability period ya miaka miwili.Karibu tufanye kaziMmmh 10?
Ndio tena inaweza ikazidi inategemeana na nature ya site ilivyo.Uhakika wa kazi nzuri na kudumu kwani tutakupa na difect liability period ya miaka miwili.Karibu tufanye kazi
Kwa kazi zote kuanzia boma,kupiga bati na kufanya finishing? au kwa boba peke yake yaani msingi na kupandisha kuta?. Karibu tuongee zaidi hivi vitu ni kujadiliana mwisho mnakubariana.Tuonyeshe mchoro na tutembelee site yako karibu tuongee kwa namba hii 0756928360 au karibu ofisini kijichi karibu na hospitali ya serikali.Aiseee ..kwa hiyo one bedroom self sebule na kajiko kadogo unaweza jenga kwa bei gani?