Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
1,887
Reaction score
1,616
Wanajamvi,

Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa makubaliano.

Karibuni sana
 
Mnauza kwa m3?
 
Kama unahitaji usafir wa hizo kokoto mzeya nitonye....nina mbogo maji yangu imekaa tuu . Natafuta tenda za kusafirisha kokoto
 
Ndio tena inaweza ikazidi inategemeana na nature ya site ilivyo.Uhakika wa kazi nzuri na kudumu kwani tutakupa na difect liability period ya miaka miwili.Karibu tufanye kazi

Aiseee ..kwa hiyo one bedroom self sebule na kajiko kadogo unaweza jenga kwa bei gani?
 
Kwa kazi zote kuanzia boma,kupiga bati na kufanya finishing? au kwa boba peke yake yaani msingi na kupandisha kuta?. Karibu tuongee zaidi hivi vitu ni kujadiliana mwisho mnakubariana.Tuonyeshe mchoro na tutembelee site yako karibu tuongee kwa namba hii 0756928360 au karibu ofisini kijichi karibu na hospitali ya serikali.
 
Back
Top Bottom