Natafuta wateja wa Soya, Vanilla, Mahindi na Ufuta

Natafuta wateja wa Soya, Vanilla, Mahindi na Ufuta

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Habari ya Mfungo ndugu zangu Wakristo na Waislamu.

Nina tani zaidi ya 10,000 za zao la Soya natafuta mteja wa 'Bulk' yaani mzigo mkubwa.

Mzigo upo Lusaka, Zambia.

Nimeambatanisha sifa zake hapa chini.
IMG-20230309-WA0003.jpg

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0743123946

Nipo Dar Es Salaam, Tanzania.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Wateja wadogo wadogo ndio watakao kuletea wateja wakubwa,pokea wote usibague..
 
NATAFUTA WATEJA WA SOYA, VANILLA, MAHINDI NA UFUTA.

Nina Tani 1000 za Soya (Beans), natafuta mteja wa kuanzia tani 1000 (bulk).

Upo mzigo wa tani 1000 'packed' tayari kwa ajili ya Ku 'export' na tani 900 zikiwa Mkoani.

Kuna mzigo wa Vannila Kilo zaidi ya 30 Dar Es Salaam.

Karibu

Mahala: Dar es Salaam.
Mawasiliano: 0743123946/ 0614362272
 
umesajiliwa kama kampuni mkuu, mnunuzi mkubwa lazima atahitaji documents za kudhibitisha uhalali wako na bidhaa yako
 
NATAFUTA WATEJA WA SOYA, VANILLA, MAHINDI NA UFUTA.

Nina Tani 10,000 za Soya (Beans), natafuta mteja wa kuanzia tani 1000 (bulk).

Upo mzigo wa tani 1000 'packed' tayari kwa ajili ya Ku 'export' na tani 9000 zikiwa Mkoani.

Kuna mzigo wa Vannila Kilo zaidi ya 30 Dar Es Salaam.

Karibu

Mahala: Dar es Salaam.
Mawasiliano: 0743123946/ 0614362272
Vanilla be gani mkuu.
 
Nilimistake usingizi wa asubuhi[emoji1787]
tons elfu 10 ni Kg 10M
Kilo milioni kumi is possible kuwa nazo Dar?? Store yake iko wapi?? Bei zikoje?? Nafikilia hayo malori 300+ au 400 kwenda mia 5 kayakusanyaje??

Anyway ngoja tupate wajuzi
 
Kilo milioni kumi is possible kuwa nazo Dar?? Store yake iko wapi?? Bei zikoje?? Nafikilia hayo malori 300+ au 400 kwenda mia 5 kayakusanyaje??

Anyway ngoja tupate wajuzi
Mmh hiyo ni ngumu kumeza..labda kakosea kg 10M sio mchezo
 
NATAFUTA WATEJA WA SOYA, VANILLA, MAHINDI NA UFUTA.

Nina Tani 10,000 za Soya (Beans), natafuta mteja wa kuanzia tani 1000 (bulk).

Upo mzigo wa tani 1000 'packed' tayari kwa ajili ya Ku 'export' na tani 9000 zikiwa Mkoani.

Kuna mzigo wa Vannila Kilo zaidi ya 30 Dar Es Salaam.

Karibu

Mahala: Dar es Salaam.
Mawasiliano: 0743123946/ 0614362272

Nikikupa hao wateja na mimi unanipa nini?!!
 
Back
Top Bottom