Shukrani sana mkuu..ngoja nimcheki
Tani moja ni kilogram elfu mojaHivi Tani elfu 10 ndo zikoje??
Vanilla be gani mkuu.NATAFUTA WATEJA WA SOYA, VANILLA, MAHINDI NA UFUTA.
Nina Tani 10,000 za Soya (Beans), natafuta mteja wa kuanzia tani 1000 (bulk).
Upo mzigo wa tani 1000 'packed' tayari kwa ajili ya Ku 'export' na tani 9000 zikiwa Mkoani.
Kuna mzigo wa Vannila Kilo zaidi ya 30 Dar Es Salaam.
Karibu
Mahala: Dar es Salaam.
Mawasiliano: 0743123946/ 0614362272
Tukimkamata mwalimu wako wa Hesabu tutapiga mpaka azimie!!Tani moja ni kilogram elfu moja
Kwahiyo tani elfu 10 ni kilogram elfu 10
Nilimistake usingizi wa asubuhi🤣Tukimkamata mwalimu wako wa Hesabu tutapiga mpaka azimie!!
Kilo milioni kumi is possible kuwa nazo Dar?? Store yake iko wapi?? Bei zikoje?? Nafikilia hayo malori 300+ au 400 kwenda mia 5 kayakusanyaje??Nilimistake usingizi wa asubuhi[emoji1787]
tons elfu 10 ni Kg 10M
Mmh hiyo ni ngumu kumeza..labda kakosea kg 10M sio mchezoKilo milioni kumi is possible kuwa nazo Dar?? Store yake iko wapi?? Bei zikoje?? Nafikilia hayo malori 300+ au 400 kwenda mia 5 kayakusanyaje??
Anyway ngoja tupate wajuzi
NATAFUTA WATEJA WA SOYA, VANILLA, MAHINDI NA UFUTA.