Natafuta wateja wa Soya, Vanilla, Mahindi na Ufuta

Tani elfu 10 za soya? Unazijua tani elfu au unazisikia tu?. Anyway wewe ni kampuni au ni mtu binafsi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
natafuta wateja wa vannila, kama unao au unawafahamu, njoo dm au comment, nkuna tani 20 na zaidi zipo tayari, utalipwa kiasi fulani katika kila tani 1, karibuni wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…