Tunaendelea kuletata kwa oda maalumu kwa wateja wa jumla.Mzigo mpya lini?
Kwa iyo maji yapo tanga tu peke yake?.tuna safari ndefu sana ya kufika kwenye uchumi wa katiSiku zote nilizani uduvi unapatikana mkoa wa Tanga pekee kumbe hata Mikoa ya Bara wapo?!
Hivi hao Uduvi hawaliwi na binadamu...?
Siku zote nilizani uduvi unapatikana mkoa wa Tanga pekee kumbe hata Mikoa ya Bara wapo?!