Natafuta wateja wa Uduvi

Natafuta wateja wa Uduvi

Stock iyokuwepo imekwisha, nitawataarifu mzigo mpya ukiingia.
 
Hivi hao Uduvi hawaliwi na binadamu...?

Wanaliwa ni dagaa jamii ya kamba hao.. ila hao wanaouzwa kwa ajili ya mifugo mara nyingi ni wale walioharibika kwanza ndio wanakaushwa na kuuzwa.. kama ilivyo kwa nguru na papa ikishindikana kuuzwa wakiwa wabichi, hukaushwa kwa kuwekwa chumvi na kuuzwa tena
 
Siku zote nilizani uduvi unapatikana mkoa wa Tanga pekee kumbe hata Mikoa ya Bara wapo?!

Hujakosea sana, asili ya uduvi ni baharini so uduvi unapatikana kwa wingi maeneo mengi yaliyozungukwa na bahari .. huu uduvi wa maji baridi kwakweli hata mi unanishangaza..kama kuna uduvi huko kwanini hakuna dagaa kamba?
 
Back
Top Bottom