Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabora KaliuaAsali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitatu.
Asali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitat
HabarAsali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitatu.
Asali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitatu.
Asante kwa ushauri nami najifunzaHongera mpambanaji mwenzangu kiukweli hii Biashara sasa ukitaka ikutoe tafuta masoko ya nje huko u export maana hapa ndani soko gumu sana unless unatafuta pesa ya kula tu ila kama unataka kutoboa tafuta partners hata humu wapo walioko nje ya tz fanya packaging nzuri then peleka huko nje asali ya tz inasifika sana huko nje
Watafute swahili honey then wafatilie wanavyofanya
Hujaandika namba ya simu tutakupataje?Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia nicheck tuongee