Natafuta wateja wa uhakika wa Asali

Asali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitatu.
 

Asali yako inatokea wapi namaanisha mkoa?!
Mimi ni mnunuzi, huwa nanunua lita/kg 50, 100 mpaka 200 kila baada ya miezi mitatu.
 
Hongera mpambanaji mwenzangu kiukweli hii Biashara sasa ukitaka ikutoe tafuta masoko ya nje huko u export maana hapa ndani soko gumu sana unless unatafuta pesa ya kula tu ila kama unataka kutoboa tafuta partners hata humu wapo walioko nje ya tz fanya packaging nzuri then peleka huko nje asali ya tz inasifika sana huko nje

Watafute swahili honey then wafatilie wanavyofanya
 
Asante kwa ushauri nami najifunza
 
Hujaandika namba ya simu tutakupataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…