Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Safi saana kikubwa usiwe na tamaa tu na usitake kila mradi ule pesa yote mwenyewe yaani kifupi usiwe kama pattern wa KAYD ambae hutafuna hela zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mimi tu nimegraduate Community Economic Development ila sina experience kazi nitajifunza naimanNimeku PM Mkuu, nipe hata hiyo monitoring and evaluation,sina experience ila nitajifunza tu kazi
Jamaa hajibu text PM,Kama mimi tu nimegraduate Community Economic Development ila sina experience kazi nitajifunza naiman
Project guider
M&E nitaweza tu
Mkuu please elaborate zaidi malengo ya NGO na wanaojitolea watapata nini mambo yakiwa shega?Habari Wananzonde jukwaani
Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote .
Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama ni darasa la saba na hawaelewi Mambo ya NGO.
Maeneo ambayo nimefeli zaidi ni
1.Fund raising
2.Project guider
3.Mornitoring and evaluation
4.Project writing
5.IT and NGO branding
Ninaomba Kama Kuna mtu yeyote anaweza KUJITOLEA aje tufanye kazi.
Kwa kuwa hatuna fund kabisa sio lazima aje hapa nilipo ila Kuna kazi anaweza kuzifanya hukohuko aliko Kama issue ya branding, fund raising,project writing nk.
Pindi Hali ikitengamaa tunaweza ona namna ya kushirikiana kwa ukaribu zaidi
Shirika linajihusisha na child rights protection.
Kwa maelezo zaidi njoo watsap 0766432676.
Duh ! Kmamae mashirika 4800 si mchezo ,hapo kuna lundo la unemployed army linakuja kitaa , ni hatareeeAjiangalie kwenye huu mkeka kama kaponaView attachment 2497373
Unemployed army dah[emoji28]Duh ! Kmamae mashirika 4800 si mchezo ,hapo kuna lundo la unemployed army linakuja kitaa , ni hatareee
Aisee hii ni ya kuanzisha uzi kabisa ,nilikuwa sijaona
Usiwe kilaza. Mtu anajiita Touchboy Terminator unategemea awe na NGO? Hilo si jina la wauza mitumba. Kuna username JF ukiisoma ujue hapo mtu ana akili gani.Miyeyusho huyu jamaa whatsapp anasoma msg na hajibu chochote labda ana nia ovu nyingine na kuna mkeka wa mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyofungiwa sijui kama nayeye hayumo kweli
Njoo ManyaraKwa sasa ipo mkoa wa mtwara ila tunaweza fungua ofisi mkoa wowote Tz bara