Natafuta watu wa kujitolea kwenye Taasisi isiyo ya Kiserikali (NGO)

Safi saana kikubwa usiwe na tamaa tu na usitake kila mradi ule pesa yote mwenyewe yaani kifupi usiwe kama pattern wa KAYD ambae hutafuna hela zote
 
Wapo wazungu wanajitolea sana ila kwa binadamu tumekuwa wabaya sana na tamaa nyingi

Watu wanawachukua watoto kwenye familia na kuwasajili kama wanawasaidia ili waongeze idadi ya hela tu
Kuwa makini sana na watu utakaofanya nao kazi na hata wewe pia usije kuwa na tamaa kwa kuthamini hela zaidi ya Utu
 
Mission ni Kusaidia watoto / kuwalinda au ni kupata funds / kujikimu...

Nadhani hata bila branding and marketing mnaweza / mgeweza kuwasaidia / kuwaprotect hao watoto huko huko mlipo (ground level) kama ni masuala ya kisheria washirikishe wanasheria kwa kujitolea hata masaa kadhaa kwa mwezi kama ni suala la elimu / mambo ya kiroho wachungaji, wazee wa mtaa / ukoo n.k.

Ni hayo tu; nimeona niseme hili hapa baada ya kuona NGO nyingine zinaanzishwa kuwasaidia waanzilishi na sio walengwa wala vision / mission ya kuanzishwa kwake...
 
Mkuu nikisema unatafuta punda uwatumikishe kwenye hiyo NGO yako uliyoiamzisha kwa kufikiria utapata pesa za bure ndani ya usiku mmoja sitakuwa mbali sana na ukweli eti ?
 
Ninunulie laptop na modem nikufanyie kazi bila malipo
 
Mkuu please elaborate zaidi malengo ya NGO na wanaojitolea watapata nini mambo yakiwa shega?
 
Mbona maswali hayana majibu sasa. Mkuu tiririka hapa maana for the greater good lazima transparency iwepo ili tujiaminishe.
 
Duh ! Kmamae mashirika 4800 si mchezo ,hapo kuna lundo la unemployed army linakuja kitaa , ni hatareee
Aisee hii ni ya kuanzisha uzi kabisa ,nilikuwa sijaona
Unemployed army dah[emoji28]
 
Miyeyusho huyu jamaa whatsapp anasoma msg na hajibu chochote labda ana nia ovu nyingine na kuna mkeka wa mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyofungiwa sijui kama nayeye hayumo kweli
Usiwe kilaza. Mtu anajiita Touchboy Terminator unategemea awe na NGO? Hilo si jina la wauza mitumba. Kuna username JF ukiisoma ujue hapo mtu ana akili gani.
We uliona wapi NGO ya wafanyakazi darasa la saba tu, uliona wapi NGO haiwezi lipa mshahara mfanyakazi yeyote inataka kila idara wajitolee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…