small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
Thank you for the opportunities, but can you please tell us a little about the business, what is it all about?
Mkuu,kutuma picha sio tatizo wala lazima.Ila kama una hizo sifa nyingine TRY YOUR LUCK.Kutokana na maelezo unaweza kujua aina ya kazi.Eti tutume picha na majina yetu kwanza, then tutaambiwa.
Refer number 2 na 16 utaona maelezoThank you for the opportunities, but can you please tell us a little about the business, what is it all about?
Mkuu,kutuma picha sio tatizo wala lazima.Ila kama una hizo sifa nyingine TRY YOUR LUCK.Kutokana na maelezo unaweza kujua aina ya kazi.
Combination ya ubia na ajira. Ndio maana ni muhimu zaid wawe tayari kufanyiwa profiling.Mkuu Hawa watu unataka kuwaajiri au ku partner nao kwenye biashara?
Mkuu,Kwanza ndio umri ambao unaweza kumfundisha mtu,Hii ni kind of apprenticeship.Sasa nitatafuta Apprentice Mwenye Miaka 60?Au we unafikiri sababu ni nini.Angalia hizo sifa nilizotaja hapo utaelewa Kwamba kama kijana ana umri huo na anasifa hizo basi huyo ana potential ya kuwa mtu mkubwa sana na mwenye mafanikio.Kwa nini unataka wa umri huo 23 we una umri gani?
Mkuu,Kwanza ndio umri ambao unaweza kumfundisha mtu,Hii ni kind of apprenticeship.Sasa nitatafuta Apprentice Mwenye Miaka 60?Au we unafikiri sababu ni nini.Angalia hizo sifa nilizotaja hapo utaelewa Kwamba kama kijana ana umri huo na anasifa hizo basi huyo ana potential ya kuwa mtu mkubwa sana na mwenye mafanikio.
Mkuu,najua ninchokifanya,tayari ninao watu tisa nawafanyia mahojiano na tukikamilisha nitakupa Mrejesho na wao pia watakupa mrejeshoKibongo bongo sivo ilivo ondoa hiyo perception kabisa.
Mimi nina miaka 47Kwa nini unataka wa umri huo 23 we una umri gani?
Mkuu,najua ninchokifanya,tayari ninao watu tisa nawafanyia mahojiano na tukikamilisha nitakupa Mrejesho na wao pia watakupa mrejesho
Hauko kwenye huo umri?Strangely response kubwa nimapata ya male.So inawezekana nikaanza na team ya all males.Ingawa nilitamani sana kuwa hata Lady mmojaSawa mkuu kila la kheir
Hauko kwenye huo umri?Strangely response kubwa nimapata ya male.So inawezekana nikaanza na team ya all males.Ingawa nilitamani sana kuwa hata Lady mmoja
Najua sana mkuu,ila naamini nitapata watu wenye sifa hizo Tanzania ni kubwa sana....Izo sifa sio za human being ninaowafahamu,lazima na roho mtakatifu ahusike apo
Usijali,Lets keep in touch.We are trying to build the futureSipo mkuu