Sarah eliud
New Member
- Oct 31, 2016
- 2
- 0
Natafuta watu wenye uzoefu wa BIASHARA ya mbwa ninahitaji kushare experience nao. Mimi ninao Germany sherpherd na pet dogs
Tupia picha.Natafuta watu wenye uzoefu wa BIASHARA ya mbwa ninahitaji kushare experience nao. Mimi ninao Germany sherpherd na pet dogs
Mnyama huyo 🙂Weka picha, unaye kama hawa?
Mkuu vipi na ww upo kwenye hii industry??Weka picha, unaye kama hawa?
Link Polisi mkoa wa Ruvuma wamkamata mkazi wa kijiji kwa kuuza nyama ya mbwaNatafuta watu wenye uzoefu wa BIASHARA ya mbwa ninahitaji kushare experience nao. Mimi ninao Germany sherpherd na pet dogs
Hapa tunaongelea biashara ya mbwa, siyo nyama ya mbwa.
Ndiyo nataka nianze, kuifanya vizuri hii biashara ni vizuri uwe unawapenda mbwa, bado nafanya utafiti nijue ni mbwa gani wananunulika sana kwa hapa Tanzania.Mkuu vipi na ww upo kwenye hii industry??
Yaah kweli kama uwapendi Mbwa itakushinda, So kwa sahv si lazma unao ambao wapo for security, Me ninaojua wapo kwenye chat ni GS, Rottweiler na Boerboel kama huyo uliompost juu hapo, kuna jirani yangu hapa anae kama BoerBoel aiseh akibweka unafurahi mwenyewe kama kweli una mbwa!Ndiyo nataka nianze, kuifanya vizuri hii biashara ni vizuri uwe unawapenda mbwa, bado nafanya utafiti nijue ni mbwa gani wananunulika sana kwa hapa Tanzania.
Yaah kweli kama uwapendi Mbwa itakushinda, So kwa sahv si lazma unao ambao wapo for security, Me ninaojua wapo kwenye chat ni GS, Rottweiler na Boerboel kama huyo uliompost juu hapo, kuna jirani yangu hapa anae kama BoerBoel aiseh akibweka unafurahi mwenyewe kama kweli una mbwa!
Yani wakibweka ni balaa tupu na uzuri wao wana miili mikubwa sana na miili mikubwa lazma iendane na kula vizuri, jamaa anao kama ulinzi au nae ni breeder?Jamaa yangu anao hao BoerBoel jike na dume, dume lina kilo 70 likibweka ni balaa.Ila inatakiwa kujipanga kwa chakula na matibabu, lakini kwa kulinda hawa mbwa wako vizuri sana.
Unapatikana wapi nawezapata namba yako ya simuHawa ni dobberman mi nna Germany sherpherd