Natafuta watu wenye uzoefu na biashara ya mbwa

Sarah eliud

New Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Natafuta watu wenye uzoefu wa BIASHARA ya mbwa ninahitaji kushare experience nao. Mimi ninao Germany sherpherd na pet dogs
 
Uko wapi boss na una mbwa wangapi waweza tupia picha
 
Upo wapi mkuu?? Ebu tupia picha kidogo, Me nna GS mixer nataka nifanye mpango nipate pure GS dume na jike.
 
Weka picha, unaye kama hawa?
 

Attachments

  • images-4.jpeg
    8.6 KB · Views: 94
  • images-5.jpeg
    5.7 KB · Views: 90
  • images-4.jpeg
    8.6 KB · Views: 85
Mkuu vipi na ww upo kwenye hii industry??
Ndiyo nataka nianze, kuifanya vizuri hii biashara ni vizuri uwe unawapenda mbwa, bado nafanya utafiti nijue ni mbwa gani wananunulika sana kwa hapa Tanzania.
 
Ndiyo nataka nianze, kuifanya vizuri hii biashara ni vizuri uwe unawapenda mbwa, bado nafanya utafiti nijue ni mbwa gani wananunulika sana kwa hapa Tanzania.
Yaah kweli kama uwapendi Mbwa itakushinda, So kwa sahv si lazma unao ambao wapo for security, Me ninaojua wapo kwenye chat ni GS, Rottweiler na Boerboel kama huyo uliompost juu hapo, kuna jirani yangu hapa anae kama BoerBoel aiseh akibweka unafurahi mwenyewe kama kweli una mbwa!
 
Jamaa yangu anao hao BoerBoel jike na dume, dume lina kilo 70 likibweka ni balaa.Ila inatakiwa kujipanga kwa chakula na matibabu, lakini kwa kulinda hawa mbwa wako vizuri sana.
 
Jamaa yangu anao hao BoerBoel jike na dume, dume lina kilo 70 likibweka ni balaa.Ila inatakiwa kujipanga kwa chakula na matibabu, lakini kwa kulinda hawa mbwa wako vizuri sana.
Yani wakibweka ni balaa tupu na uzuri wao wana miili mikubwa sana na miili mikubwa lazma iendane na kula vizuri, jamaa anao kama ulinzi au nae ni breeder?
 
Kama unauza sema natafuta mbwa trained kwa ajili ya security.
 
Soko liko zuri tu nenda chines restaurant wanatoa hela ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…