Itakuwa chips take away..Rizla kwaajili ya kufungia nini?
Jeshi la polisi haliwezi.Rizla inalipa kodi.Jeshi la police mkoa wa mwanza tuingie kazini tuupate mzigo alionao serikali haiwezi kuchezewa namna hii
Bangi ihalalishwe😂😂😂Habari wakuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, natafuta wauzaji wa rizla mkoa wa mwanza kwa bei ya jumla.
Pm iko wazi. Njoo tufanye biashara.
N.B uwe mwaminifu kama wauza nafaka walivyo waaminifu
BangiRizla kwaajili ya kufungia nini?
😆😆😆Rizla kwaajili ya kufungia nini?
Labda poumbu zimechanikaRizla kwaajili ya kufungia nini?
njoo pm mkuu, hapa umefika, uzuri wote tupo kanda ya ziwaPia natafuta wauza SHKATA (sigara dawa) kwa bei ya jumla mkoa wa mwanza.