Habari zenu wakuu...
Naomba ambaye ni muuzaji wa vifungashio vya vichupa kuanzia gram 80,100,250 na kuendelea naomba tuwadiliane..au Mtu ambaye añae fahamiana na muuzaji naomba unijuze..
Mfano wa aina ninavyo vihitaji kama hivyo kwenye picha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.