Natafuta wazo la biashara

John January

Member
Joined
Mar 31, 2018
Posts
11
Reaction score
7
Habari wadau,

Natafuta wazo la biashara, nataka kuwekeza mtaji wa kati ya 5m - 15m na baada ya mradi kusimama niweze kupata kipato sio chini ya laki 5 kwa mwezi baada ya kuondoa gharama za uzalishaji. Naombeni maoni yenu wakuu.
 
Mkuu ukikosa kabisa fanya storage ya mazao uje kuuza mwezi wa pili kuliko uiache ikae bank hiyo kwa maelezo zaid njoo pm tuyajenge
 
Habari wadau,

Natafuta wazo la biashara, nataka kuwekeza mtaji wa kati ya 5m - 15m na baada ya mradi kusimama niweze kupata kipato sio chini ya laki 5 kwa mwezi baada ya kuondoa gharama za uzalishaji. Naombeni maoni yenu wakuu.

Mimi nina idea tushirikiane
 
Source ya mawazo ni kichwa tumia chako Mkuu,,
 
Mkuu nina wazo zuri kabisa nimeliweka katika business plan, ukilifanyia kazi iyo plan hutojuta nimelifanyia research na katika hiyo biashara niliyoiandikia wazo mimi ni moja ya mteja mkubwa
 
Unauza bei gani hilo wazo huenda na mimi nikanunua?
 
Fungua biashara ya usafi naona inalipa.... Wajuzi wake tuuu wakuambie vinavyohitajika basy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…