October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Unaweza kuja pm nabadilisha details zangu tu naweka zakoUnauza bei gani hilo wazo huenda na mimi nikanunua?
Unataka la bure? Au la kununua? Ukipewa wazo tu bila utekelezaji wake si unaweza kushindwa kufikia lengo? Ka nini usitangaze unanunua wazo la uwekezaji (biashara/ujasiriamali) lakini liwe na andiko lake, vipi limefanyiwa upembuzi yakinifu na utekelezaji wake (Business Plan, Business Feasibility study & Business workplan) coz mtaji unao (5-15mil) hivyo hy ni sehem ya start up expenses! Naona itakuwa bora na utapata mawazo bora zaidi. Mtazamo tu MkuuHabari wadau,
Natafuta wazo la biashara, nataka kuwekeza mtaji wa kati ya 5m - 15m na baada ya mradi kusimama niweze kupata kipato sio chini ya laki 5 kwa mwezi baada ya kuondoa gharama za uzalishaji. Naombeni maoni yenu wakuu.
Sahihi kabisaUnataka la bure? Au la kununua? Ukipewa wazo tu bila utekelezaji wake si unaweza kushindwa kufikia lengo? Ka nini usitangaze unanunua wazo la uwekezaji (biashara/ujasiriamali) lakini liwe na andiko lake, vipi limefanyiwa upembuzi yakinifu na utekelezaji wake (Business Plan, Business Feasibility study & Business workplan) coz mtaji unao (5-15mil) hivyo hy ni sehem ya start up expenses! Naona itakuwa bora na utapata mawazo bora zaidi. Mtazamo tu Mkuu