Natafuta wazo la biashara

Natafuta wazo la biashara

mkuu niko na wazo ambalo nimewahi lifanyia kazi katika usimamizi wake na wazo hilo lina tija maana unaweza fany akazi miezi miwili na ukapata zaidi ya 5 million, ka upo serous karibu nikupatie wazo hilo na nitakutafutia na namna ya kupata vitendea kazi but niseme tuu kuwa nitakuuzia wazo hilo maana nitabidi nikufunulie A to Z kuhusu biashara hiyo
 
Wazo langu linahusu mgahawa ambayo ndio industry inayolipa sasahivi, nicheki PM
 
Wazo lipo linahitaji muda mrefu kufuatilia. Yaani baada ya miezi 8 unapiga hela. Ila sio hapa mjini.
Uwekezaji haifiki hata nusu ya hela hiyo. Wanunuzi wanakuja wenyewe.Tatizo siwezi kuja pm natumia simu kwenye chrome,app inagoma ku log in.
 
Hapa kuna mengi ya kuya jua toka kwako

Uwekezaji wa pesa ni mhimu kuwa na wazo la muda mrefu

Na utambue kuna utofauti kati ya kununua wazo Na kuwa na wazo lako mwenyewe

Wazo la kuuziwa hutaweza kulimdu maana alie kuuzia ndio anae jua mwanzo wa wazo lake na mbinu za wazo lake likifeli atafanyeje

Unapo uziwa wazo ni pamoja na kuingia katika mfumo mpya wa kiuwekezaji au mgingano wa kimawazo


Hapa una kitu kimoja tu cha kukifanya japo kinaweza kukakuchua muda kidogo

Chukua muda wako mwingi kufanya utafiti wa mambo mbalimbali

Unaweza kufanyia utafiti vitu kama:

Kilimo

Hapa unaweza kufanyia utafiti wa zao unalo penda kulima

Ufugaji

Hapa unaweza kufanyia ufugaji wa mifugo unayo weza kufuga na ukawataufauta wale wanao fuga wakakupa uzoefu na kujua zaidi


Biashara

Hapa unaweza kuchagua biashara unayo penda kuifanya na ukawatafuta watu wanao ifanya na ukajua changamoto zake


Kila unacho jifunza kinaweza kisikupe unacho taka ila kikakupa mile usicho tarajia

Hasara katika uwekezaji ni moja ya hatua ya mwekezaji

Faida inayo patikana katika uwekezaji ni uvumilivu alio upitia mwekezaji

Nikutakie mafanikio katika safari yako
 
Habari wadau,

Natafuta wazo la biashara, nataka kuwekeza mtaji wa kati ya 5m - 15m na baada ya mradi kusimama niweze kupata kipato sio chini ya laki 5 kwa mwezi baada ya kuondoa gharama za uzalishaji. Naombeni maoni yenu wakuu.
Unataka la bure? Au la kununua? Ukipewa wazo tu bila utekelezaji wake si unaweza kushindwa kufikia lengo? Ka nini usitangaze unanunua wazo la uwekezaji (biashara/ujasiriamali) lakini liwe na andiko lake, vipi limefanyiwa upembuzi yakinifu na utekelezaji wake (Business Plan, Business Feasibility study & Business workplan) coz mtaji unao (5-15mil) hivyo hy ni sehem ya start up expenses! Naona itakuwa bora na utapata mawazo bora zaidi. Mtazamo tu Mkuu
 
Unataka la bure? Au la kununua? Ukipewa wazo tu bila utekelezaji wake si unaweza kushindwa kufikia lengo? Ka nini usitangaze unanunua wazo la uwekezaji (biashara/ujasiriamali) lakini liwe na andiko lake, vipi limefanyiwa upembuzi yakinifu na utekelezaji wake (Business Plan, Business Feasibility study & Business workplan) coz mtaji unao (5-15mil) hivyo hy ni sehem ya start up expenses! Naona itakuwa bora na utapata mawazo bora zaidi. Mtazamo tu Mkuu
Sahihi kabisa
Bure ni ghali
 
Back
Top Bottom