Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23] mmm unataka tu niitaje saa hii,nimesema ntaifungulia uzi wake mnishauri pia...Biashara ya siri huwa ni haramu
Basi nenda jukwaa la Biashara, Uchumi na UjasiriamaliNaomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...
Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta uzi wake mnishauri pia...
Ni fursa tamu sana esp kwa wale ambao hawapendi kuajiriwa kama mimi na wale fresh from versity...
[emoji23] mkuu acha utani basi...Dili nzuri Ukimteka mtoto wa kizungu na Ukawaambia walete $ 10,000. Wazungu siyo kama wa Africa wanapenda watoto lazima walete hiyo pesa.
Sawa...mm nmeshajua unataka kuwauzia nn wazungu[emoji23] mmm unataka tu niitaje saa hii,nimesema ntaifungulia uzi wake mnishauri pia...
Ila kwa saa hii nataka nijue hayo maeneo
Asante mkuu,ila vya bure situmiagi[emoji276]Mi najua moshi tu tena sasa hivi wamejaa kinoma mpaka kwenye daladala kuta utakubali nayo kuifanya huku kwetu karibu.
ntakupa nyumba ya kulala, jiko, store na sanitary room FOR FREE
NiniSawa...mm nmeshajua unataka kuwauzia nn wazungu
Glacious wapo Kibao na Chuga.Mi najua moshi tu tena sasa hivi wamejaa kinoma mpaka kwenye daladala kuta utakubali nayo kuifanya huku kwetu karibu.
ntakupa nyumba ya kulala, jiko, store na sanitary room FOR FREE
KidudeeeNini
GaniKidudeee
Kitam tamGani
Mkuu naona hali ya magu imebana sasa mnatuacha hivi hivi mnataka wazungu,Nini
Mabadilikooooooooooo!!!!!! Zungusha zungushaWewe ukiwa mwanamke, nitaanza kuamini uwepo wa uchawi.ππππ
Mkuu vitu vya wazungu utaweza wewe?Mkuu naona hali ya magu imebana sasa mnatuacha hivi hivi mnataka wazungu,
Mi ni ME mkuu[emoji41]Wewe ukiwa mwanamke, nitaanza kuamini uwepo wa uchawi.ππππ