Natafuta wazungu...

Natafuta wazungu...

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...

Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta uzi wake mnishauri pia...
Ni fursa tamu sana esp kwa wale ambao hawapendi kuajiriwa kama mimi na wale fresh from versity...
 
Dili nzuri Ukimteka mtoto wa kizungu na Ukawaambia walete $ 10,000. Wazungu siyo kama wa Africa wanapenda watoto lazima walete hiyo pesa.
 
Basi nenda jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
 
Dili nzuri Ukimteka mtoto wa kizungu na Ukawaambia walete $ 10,000. Wazungu siyo kama wa Africa wanapenda watoto lazima walete hiyo pesa.
[emoji23] mkuu acha utani basi...
 
Mi najua moshi tu tena sasa hivi wamejaa kinoma mpaka kwenye daladala kuta utakubali nayo kuifanya huku kwetu karibu.

ntakupa nyumba ya kulala, jiko, store na sanitary room FOR FREE
 
[emoji23] mmm unataka tu niitaje saa hii,nimesema ntaifungulia uzi wake mnishauri pia...
Ila kwa saa hii nataka nijue hayo maeneo
Sawa...mm nmeshajua unataka kuwauzia nn wazungu
 
Mi najua moshi tu tena sasa hivi wamejaa kinoma mpaka kwenye daladala kuta utakubali nayo kuifanya huku kwetu karibu.

ntakupa nyumba ya kulala, jiko, store na sanitary room FOR FREE
Asante mkuu,ila vya bure situmiagi[emoji276]
 
Mi najua moshi tu tena sasa hivi wamejaa kinoma mpaka kwenye daladala kuta utakubali nayo kuifanya huku kwetu karibu.

ntakupa nyumba ya kulala, jiko, store na sanitary room FOR FREE
Glacious wapo Kibao na Chuga.
 
Wewe ukiwa mwanamke, nitaanza kuamini uwepo wa uchawi.🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom