Natafuta wazungu...

Natafuta wazungu...

Waigizaji wanaigiza kaole CD dukani/
Akina dada wanaigiza ulokole mili buchani/
Hii ngoma yenye hizi mistari uwa naielewa.
By the way mkuu,
Wamendee ledger plaza sometimes wanakuwepo kuwepo wengi.
 
Waigizaji wanaigiza kaole CD dukani/
Akina dada wanaigiza ulokole mili buchani/
Hii ngoma yenye hizi mistari uwa naielewa.
By the way mkuu,
Wamendee ledger plaza sometimes wanakuwepo kuwepo wengi.
Asante
 
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...

Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta uzi wake mnishauri pia...
Ni fursa tamu sana esp kwa wale ambao hawapendi kuajiriwa kama mimi na wale fresh from versity...

Nenda kategeshe pale Ramada....kule Afrikana.

Wapo wa kutosha hapo.
 
Ninaweza mkuu,achana nao kwanza ukienda kwao watakuf.r. mbaya kabisa,muulize rah p atakwambia
Mmmm nahisi hapa tunaongelea biashara mbili tofauti..na hiyo ya kwako hata sio ninayotaka kuifanya

We chilax tu,thread ina load utajua ni bz gani[emoji4]
 
Mkishamaliza kujiuliza ni biashara gani,mje mnitajie hayo maeneo kama thread inavyotaka,af will tell you ni fursa gani nakamatia[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mmmm nahisi hapa tunaongelea biashara mbili tofauti..na hiyo ya kwako hata sio ninayotaka kuifanya

We chilax tu,thread ina load utajua ni bz gani[emoji4]
Thread zako zinafanana na avatar yako.........
 
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...

Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta uzi wake mnishauri pia...
Ni fursa tamu sana esp kwa wale ambao hawapendi kuajiriwa kama mimi na wale fresh from versity...
acha zako bana business gani unayoenda kufanya na mawhiteman but ngoja nikupe map yao ili ukatuongezee mapato hewa TRA .
 
Ooooohh!!!! don't worry am here for you and I will have to be with you [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom