Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

Mbutaa

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
10
Reaction score
2
Wapendwa wana JF salamu kwenu. mimi ni Mtendaji wa kata mkoani kilimanjaro wilaya ya Siha. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika wilaya moja wapo kati ya Kinondoni, Ilala, Temeke, Kibaha au Kisarawe ili niweze kukaa karibu na familia yangu Dar es salaam. Atakayekuwa tayari anitumie PM na nipo tayari kuinunua nafasi hiyo. Naomba msaada wenu. Asante.
 
Uko tayari kununua nafasi maana yake nini?
 
ipo cku kikwete anaweza kuomba mtu wa kubadilishana nae kaz.
 
Tangaza Dau una shilling ngapi? halafu kumbuka siyo lazima ufanye kazi ya WEO.
 
Back
Top Bottom