Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
AsanteANISSA Fally Ipupa.
Yeah wanakuja kumpa mwongozo lo
Mimi niaujua "tabu lele" tuNajua Jamiiforums hakishindikani kitu.
Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi.
Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno TABU KWACHU TABU KWACHU
Ilikuwa kipindi nipo mdogo ila leo nimemkumbuka sana marehemu mpangaji wetu
Wala siyo huo mkuuAsante
Mobili ya pasi?Mimi nautafuta unakipande kinasema "mobili ya pasi oooh mama
Mimi nautafuta unakipande kinasema "mobili ya pasi oooh mama
Kweli sioWala siyo huo mkuu
Poa mkuuNadhani unauzungumzia MATABlSI WA LUCIANA DEMINGONGO akiwa na NOUVELLE GENARATION
ulikuwa katika album ya ZIPOMPAPOPA
Ziikuiwa na nyimbo Kali kama VIGILANCE PRINCE JULIA nk
seach YOUTUBE matabisi by Luciana
sikiza Kisha niambie kama SI huo
Basi seach VIGILANCE by LUCIANA na Seach pia PRINCESSE JULIA by LUCIANA