Natafuta wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno 'Tabu Kwachu Tabu Kwachu'

Natafuta wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno 'Tabu Kwachu Tabu Kwachu'

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Najua Jamiiforums hakishindikani kitu.

Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi.

Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno TABU KWACHU TABU KWACHU
Ilikuwa kipindi nipo mdogo ila leo nimemkumbuka sana marehemu mpangaji wetu
 
Mimi niaujua "tabu lele" tu
 
Nadhani unauzungumzia MATABlSI WA LUCIANA DEMINGONGO akiwa na NOUVELLE GENARATION mpiga drums akiwa AWILO LONGOMBA kabla hajageukia uimbaji
Ndomana utasikia kibwagizo wimbo ukichanganya AWILO LONGOMBA kwachukwachu kelele ikiwa wanamrusha namna alivyostad wa kupiga drums na wakati mwingine tumba
ulikuwa katika album ya ZIPOMPAPOPA
Ziikuiwa na nyimbo Kali kama VIGILANCE PRINCE JULIA nk
seach YOUTUBE matabisi by Luciana
sikiza Kisha niambie kama SI huo
Basi seach VIGILANCE by LUCIANA na Seach pia PRINCESSE JULIA by LUCIANA
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    41.9 KB · Views: 6
Nadhani unauzungumzia MATABlSI WA LUCIANA DEMINGONGO akiwa na NOUVELLE GENARATION
ulikuwa katika album ya ZIPOMPAPOPA
Ziikuiwa na nyimbo Kali kama VIGILANCE PRINCE JULIA nk
seach YOUTUBE matabisi by Luciana
sikiza Kisha niambie kama SI huo
Basi seach VIGILANCE by LUCIANA na Seach pia PRINCESSE JULIA by LUCIANA
Poa mkuu
 
Back
Top Bottom