Natafuta wimbo wa Raphael

Natafuta wimbo wa Raphael

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Jamani naomba mtu yeyote mwenye ule wimbo wa FRANK-RAPHAEL au anaejua nnapoweza kuupata anipatie au anijulishe!!

Asante...
 
Lizzy unafika huku? mbona hapa ni nadra kupata mtu atakayeujua huo wimbo. si bora ungeulizia kule kwenye majukwaa yetu ya kila siku?
 
Hahah...dada, uzalendo umekushindae...
me waiting too!
 
Ni Fredy Zagamba wimbo unaitwa Raphael au?
Jamani naomba mtu yeyote mwenye ule wimbo wa FRANK-RAPHAEL au anaejua nnapoweza kuupata anipatie au anijulishe!!Asante...
 
Lizzy unafika huku? mbona hapa ni nadra kupata mtu atakayeujua huo wimbo. si bora ungeulizia kule kwenye majukwaa yetu ya kila siku?
Manumbu hata huku si wapo watu wa aina zote jamani?!
 
Huyu jamaa anaitwa Frank e Rafael baladeira! Au co huyo unayemtaka ww bi mkubwa..:?kma ndie twende private.
 
Huyu jamaa anaitwa Frank e Rafael baladeira! Au co huyo unayemtaka ww bi mkubwa..:?kma ndie twende private.
Hahahha....Rafael ni jina la wimbo bana!!
 
Imebidi nipite kichochoro hiki baada ya kumuona Liz kwa mbali, haya dada mi natangulia tutakutana kuleeee....
 
Imebidi nipite kichochoro hiki baada ya kumuona Liz kwa mbali, haya dada mi natangulia tutakutana kuleeee....
Mhhh...we ni profesa wangu wa hisabati au historia?!
 
Back
Top Bottom