Natafuta wimbo

Murii

Member
Joined
Dec 16, 2020
Posts
29
Reaction score
21
Habari Wana Jamii F..katika miaka ya 200+kuna wimbo nilikua nauona sana TBC enzi ile nadhani ilishabadili jina kaimba kama Mchina flani hivi ulihusu maswala ya VVU yani alipendwa huku ana vvu ni kama ulikua wa kampeni maalumu...una maneno haya

USILIE WEE
UZURI WANGU
UTAPATA MWINGINE
KUSHINDA MIMI
NINAKUPENDAAA
UNANIPENDAAA
EMOLA NAOMBA RUHUSA NIINGIE

anayeufahamu nauomba
 
Muulize radhia au radhina...wale waliimbaga na kibanda cha simu na soggy doggy...sina hakika lakini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…