Murii
Member
- Dec 16, 2020
- 29
- 21
Habari Wana Jamii F..katika miaka ya 200+kuna wimbo nilikua nauona sana TBC enzi ile nadhani ilishabadili jina kaimba kama Mchina flani hivi ulihusu maswala ya VVU yani alipendwa huku ana vvu ni kama ulikua wa kampeni maalumu...una maneno haya
USILIE WEE
UZURI WANGU
UTAPATA MWINGINE
KUSHINDA MIMI
NINAKUPENDAAA
UNANIPENDAAA
EMOLA NAOMBA RUHUSA NIINGIE
anayeufahamu nauomba
USILIE WEE
UZURI WANGU
UTAPATA MWINGINE
KUSHINDA MIMI
NINAKUPENDAAA
UNANIPENDAAA
EMOLA NAOMBA RUHUSA NIINGIE
anayeufahamu nauomba