Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
chaliifrancisco bro fursa hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini tena rafiki?? Hivi ndivyo jamii yetu inavyoamini
Ooh bas sawaaNini tena rafiki?? Hivi ndivyo jamii yetu inavyoamini
Swali la msingi sanaEti unachura?
Kazi roho, una kazi hakuna mteremko tena....Hello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar 2.
Makazi yangu mimi ni dar
Umri wangu ni miaka 23 ila nataka mwanaume wa 23-30 hivi
Asantee ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaweza kweli? Maana nataka jimama mimichaliifrancisco bro fursa hii
Karibu pmHello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar 2.
Makazi yangu mimi ni dar
Umri wangu ni miaka 23 ila nataka mwanaume wa 23-30 hivi
Asantee ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana umemtelekeza mtoto wa watu ledada?Ntaweza kweli? Maana nataka jimama mimi
kuna thread jamaa analia et huyu demu kampiga mzinga.