VENTURECACHER
Member
- Oct 24, 2011
- 38
- 8
jamani mbona mi kila siku natangaza kutafuta mwenza(mke) humu lakini hakuna anayejitokeza laikini huenda bado hajaja iwapo yupo basi tuwasiliane ila awe mkristo,elimu ya f4 na kuendelea,awe hajazaa wala kuwahi kuolewa.nami nina sifa linganishi ila elimu yangu ni shahada.
tuwasiliane kwa email: famon1987@yahoo.com
ndo hapoKwani ni lazima atoke humu jf only? Tafuta hata huko mtaani kwenu!
Nyie mnahitaji sala maalumu.[/Nadhani sala ya toba ingekuwa bora zaidi]
baelezze!!mke mwema anatoka kwa bwana. Sio jf