NATAFUTE MKE awe MNENE umri miaka 35-45

NATAFUTE MKE awe MNENE umri miaka 35-45

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Salam Wadau
Najitokeza hapa jukwaani kutafuta mwanamke ambae tukielewana aje kuwa mke wangu, awe mnene, rangi yoyote, elimu kuanzia kidato cha 4 umri kati ya 35-45. kama ana mtoto asizidi mmoja. Asanteni
 
Kabila vipi?
 
Mnawavunja wadada wa watu mioyo yao. Kuna looser mmoja aliwasiliana na mdada humu na kuingia mtini. Hebu kuwa serious. Manake mtaa unaoishi, classmates wa ndugu zako, ndugu wa wafanyakazi wenzio, mahali unaposali. Koote umekosa mwanamke mnene umtokee?
 
looo naona unajitafutia matatizo sasa ,kila la kheri naimani utampata atakae kufaa
 
Matatizo ya nini? yeye hapa amepaamini. Aendelee tu kutafuta hope atapata soon.
 
Mbona mnatuchanganya...nilifikiri maumbo ya kimodo ndo mpango mzima?
 
Back
Top Bottom