Per Week
Member
- Jul 19, 2018
- 92
- 232
Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo.
Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake zilinishinda, busara na heshima vilikua vidogo sana kwake.
Nikapata mwingine tukadate kama mwaka hivi ila nae hatukuweza kuoana.
Jf ni sehemu ya great thinkers hivyo nina amini nitapata mwenye busara na heshima humu.
Sifa zangu;
Naweka wazi tena, awe tayari pia kushiriki shughuli zangu za kilimo na kuna muda inaweza kumpasa kukaa huko hata wiki 3 mfululizo kwa maana kuna kipindi nakua nimesafiri nje ya Dom na Dar. Ila Kama ni mfanyakazi basi hakuna shida, ila Kama hana kazi basi hiki kipengele kitamhusu.
Natanguliza shukrani.....

- Nina elimu ya shahada ya kwanza
- Ninaishi Daressalaam, japo nasafiri mara kwa mara Dodoma( hivyo ni Dar na Dom).
- Nina Nyumba mbili Dom na Dar na magari mawili( Canter na Kluger).
- Dini yangu ni Mkristo japo sibagui Muislamu( nipo tayari kuishi na dini yoyote). Heshima mbele, nasisitiza hili.
- Ninafanya shughuli za kilimo sana, ni mkulima mkubwa Dom.
* Single Mother's ni ruksa, Ila awe mkweli sababu ya kuwa single mother. Nikigundua aliongopa basi niwe mkweli tu hatutaendelea tena.
- Awe tayari kusafiri Dar na Dom kwa mwezi angalau mara 2, hivyo kwa asiyependa safari au mvivu wa safari itakua ngumu kuwa nae.
- Sibagui elimu Ila asiwe ameishia darasa la 7, minimum kabisa awe Form 4