Natafute mke, awe mwenye heshima na busara

Pia hujawaambia utakaanao kwa muda gani ili u-confirm ndoa. Maana ni rahisi sana ku pretend ili mwanamke aendane na wewe katika kipindi cha matazamio ila baada ya hapo ndio utajua ni yeye uliyemchagua au umechaguliwa na mtu.
Nakutakia kila lakheri upate mke mwema ila nikukumbushe tu kwamba mke mwema hatoki jf "mke mwema hutoka kwa Mungu" haina maana jf hayupo ila unapaswa kumshirikisha Mungu kwa karibu mno katika mchakato huu.
 
What a luck! maisha ya kwenda shamba ni mazuri sana, tena shamba kwenyewe ni usimamizi tu nani anashindwa hili?

Kila la heri mtoa mada. Wadada wa JF mkuje.
 
What a luck! maisha ya kwenda shamba ni mazuri sana, tena shamba kwenyewe ni usimamizi tu nani anashindwa hili?

Kila la heri mtoa mada. Wadada wa JF mkuje.
Mchangamkie fursa hiyo tena hapa kwa kuwa jamaa anasafiri sana basi mbususu haipelekewi moto kivile🤣🤣🤣🤣
 
Toa au edit hiyo ulichosema una miliki Bora useme mashamba Unamiliki

Utapata watu ovyo
 
Kila la kheri
 
We oa tu mimi nitakua marioo wa mke wako kaz yangu kumkaza kila ukisafiri
 
What a luck! maisha ya kwenda shamba ni mazuri sana, tena shamba kwenyewe ni usimamizi tu nani anashindwa hili?

Kila la heri mtoa mada. Wadada wa JF mkuje.
Kuna tofauti ya kwenda shamba na Kulima 😅
Maisha ya Kulima yasikie tu
 
Kuna tofauti ya kwenda shamba na Kulima 😅
Maisha ya Kulima yasikie tu
Mie napenda kwenda shamba tu na kufanya vishughuli vya hapa na pale huko, Sasa tutalima sote kwani pesa tunatafuta za nini? Si za vibarua mkuu?
 
Mie napenda kwenda shamba tu na kufanya vishughuli vya hapa na pale huko, Sasa tutalima sote kwani pesa tunatafuta za nini? Si za vibarua mkuu?
Basi ndio maana unapenda shamba, ila ungekua uningia kwenye Death row mwenyewe tena kilimo cha mkono usingependa shamba
Though napenda sana Maisha ya kijijini/porini
 
Basi ndio maana unapenda shamba, ila ungekua uningia kwenye Death row mwenyewe tena kilimo cha mkono usingependa shamba
Though napenda sana Maisha ya kijijini/porini
Ni kweli labda kwasababu sishiki jembe hata hivyo huwezi kwenda shamba ukakaa tu. Mi mazingira ya kule yananipa amani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…