Nataka kuwa muislam niolewe hapa unasemaje mshipa ake.
[emoji2][emoji2]hapana baki na dini yako waoaji bado wapo wengi ni suala la muda tu
Ukikosa niambie
Sent using Jamii Forums mobile app
mshipa ake nimekosa
Wanataka kipochi haraka hawataki kujicomit