Natafute mke Muislamu

Natafute mke Muislamu

Mwanamke hutafutwa kwa sifa nne
Kwa muongozo wa dini ya Kiislamu
1. Uzuri wake
2. Mali yake
3. Heshima ya familia au ukoo wake
4. Dini yake

Na ukitaka aaliyebora zaidi, chagua mwenye dini yake.
 
Back
Top Bottom